Tuesday, 23 July 2013

NAY WA MITEGO ATANGAZA KUMPIGIA KAMPENI LOWASA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015


By on 22:05

Haya  ni  mashairi  aliyoyaandika Nay wa  mitego  kwenda  kwa  mtoto  wa  Rais  a.k.a Riz One  akimtaka  amwambie  baba  yake  kuwa  mtwara  hawataki  korosho, wanataka   gesi  na  pia Lowassa  asiache  kugombea  urais  maana  yupo  tayari  kumpigia  kampeni-2015
----------------
MASHAIRI YAKE:
Naongea na Riz one hey Riz One, we si mtoto wa raisi Riz one. Mwambie dingi yako Masela hawamuelewi wamakonde wa Mtwara hawataki tena Korosho, wanaitaka ges si mtawaua na mkong'oto?! Nani rafiki wa Lowasa anifikishie salam 2015 nataka agombee uraisi nitamfanyia kampeni wananchi wampe nafasi, 
# Salam zao# 
my new track coming soon.!!

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment