Thursday, 25 July 2013

NYUMBA YAUNGUA MOTO NA KUTEKETEZA MAGARI SITA ENEO LA MAJUMBA SITA UWANJA WA GONGA JIJINI DAR ES SALAAM , USIKU WA KUAMKIA LEO


By on 05:34

, USIKU WA KUAMKIA LEO


Hivi ndivyo mabaki ya nyumba hiyo ambaye mmiliki wake hakujulikana mara moja inavyo onekana


Haya Ndiyo Magari yaliyo teketea kwa moto, ambapo eneo ambalo nyumba hiyo iliunguwa ilikuwa karibu na Garage


Baadhi ya Mabaki katika Nyumba hiyo


Baadhi ya Wananchi waliofika Alfajiri kushuhudia Maafa hayo

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment