Tuesday, 30 July 2013

BODI YA MIKOPO YAKANUSHA UVUMI KUWA WALIOOMBA MKOPO WA ELIMU WANAPASWA KUJIANDIKISHA UPYA


Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa...

"SINA MPANGO WA KUAJIRIWA NA KU******M YOYOTE....CLOUDS ACHENI KUNIFUATILIA". HILI NI TUSI LA MWISHO MWAMPAMBA


Mwisho Mwampamba amegeuka  mbogo  na  kufurumua  matusi  ya  nguoni  kwa  Clous Fm  baada  ya  kituo  hicho  kuanza  kumjadili ...

KODI YA SIMU KURUDI BUNGENI AGOSTI MWAKA HUU KWA AJILI YA KUJADILIWA UPYA


SAKATA la kodi ya simu ya Sh 1,000 kwa kila laini ya simu kwa mwezi, inayolipwa na watumiaji wa simu, litamalizwa bungeni kisheria.  Waziri wa Fedha, William Mgimwa, amesema wameanza...

Monday, 29 July 2013

BAADA YA CLOUDS FM KUMWONGELEA MWISHO MWAPAMBA ,YE AKASIRISHWA NA KITENDO HICHO NA KUTOA TUSI ZITO LIVE


 Now ni clouds FM with Mwisho Mwampamba...

WAKUTWA NA MAUTI WAKIFANYA MAPENZI.


Kwa Mujibu wa Ripoti iliyotolewa na wakazi wa eneo husika, inasemekana kwamba Bw. Mathias Nwoko,45, na Binamu yake Angela Ihuoma walifikwa na Umauti wakati wakiwa katika tendo la ndoa. Wawili ...

TAARIFA KWA UMMA, BARABARA KUFUNGWA KWA UJUIO WA WAZUIRI MKUU WA THAILAND NCHINI TAREHE 30/07/2013


Ndugu Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Napenda nichukue fursa hii kuwajulisha rasmi kwamba Nchi yetu imepata heshima ya kutembelewa na Waziri Mkuu wa Thailand ambaye atawasili Nchini tarehe ...