Monday, 29 July 2013

CHANGUDOA APAWE KICHAPO NA WENZAKE KWA KUUZA MWILI WAKE KWA BEI YA CHINI


By on 06:35

Kwa hali isiyo ya kawaida changudoa mmoja Alipewe kichapo cha mbwa mwizi Baada ya kugundulika na wenzake kuwa huwa anauza kwa bei ndogo na saa zingine huwa anatoa kwa mkopo..kitendo hicho kimelaaniwa na wenzake kwa vile kinapunguza bei yao na kuonekana kuwa si  wa gharama...inafikia kipindi watu wanaokuja wanamtafuta yeye tu kwa vile ni wa bei ya chini .....
“Kwani unafikiria sisi tutakula wapi kama utaendelea kujiuza hii bei hasara" Alisikia Changudoa mmoja akisema huku akishusha kichapo...
Watu mbali mbali waliingilia kati na kuanza kumuokoa katika kichapo hicho...
Mteja mmoja alisikika akisema:
“Unajua huyu mama huwa ananipatia kwa credit on a bad day so siwezi muacha auliwe na hawa wenzake (she offers me services on credit when I’m broke so I can’t let them kill her),”

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment