Mwanasiasa mmoja wa Sweden anayeonekana kuwa member mzuri wa mtandao
unaozidi kupata umaarufu bongo wa Instagram, katika hali ya ushabiki na
kutaka kushare picha ya tattoo yake ya Liverpool FC iliyochorwa katika
mguu wake wa kushoto , kwa bahati mbaya alijikuta akionesha mpaka sehemu
za ‘ikulu ya mwili’.
Katika hali ya utani Waziri wa mambo ya nje wa Sweeden kutoka kwa chama pinzani Carl Bildt, alimwambia bwana Ohly “Congratulations – finally, after all these years you have made a genuine public breakthrough.”
SOURCE: DAILY MAIL
0 comments:
Post a Comment