Jamani heshima kwenu wote! Naheshimu mawazo na ushauri wenu., nina
sumbuliwa na tatizo la kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
nikiwa ni mwanamke hali inayopelekea kutofurahia kabisa tendo ilo,
mwanzon nilidhan ni maandaliz duni lakin kadiri navozidi ndo napata
maumivu zaidi kiasi hata kushindwa kuendelea na raundi ya pili. Naombeni
mnaofaham tiba pia ushauri ntapokea. Asanten
Source:JM
0 comments:
Post a Comment