Thursday, 25 July 2013

PESA MWANAHARAMU:.. LADY GAGA AKUBALI KUPIGWA UCHI ILI KUUPAMBA UKURASA WA MBELE WA GAZETI


By on 10:28

  Lady  Gaga  ametoa  kali  ya  mwaka  baada  ya  kukubali  kufotolewa  akiwa  mtupu  ili  kuupamba  ukurasa  wa  mbele  wa  gazeti  la  V magazine...

Baadhi  ya  fans  wake  wamefunguka  na  kudai  kuwa  uroho  wa  pesa  utamponza  huku wengine wakidai   kuwa  msanii  huyo  atakuwa  amekubali  kuanikwa  hivyo  ili  kuvuta  "attention"  ya  mashabiki  wake  kwa  ujio  wa  albam yake  mpya  itakayoitwa  Artpop

Albamu hiyo inatarajiwa kuwa   sokoni mwezi wa 11 na nyimbo ya kwanza kutoka kwenye  album   hiyo  itatambulishwa mwezi wa nane tarehe 19.
 

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment