Wednesday, 24 July 2013

PICHA::RAIS KIKWETE ALIPOTUA BUKOKA KIKAZI ZAIDI


By on 22:37

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi la upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba leo Julai 24, 2013.
Rais Jakaya Kikwete pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la Kagera Coperative Union leo Julai 24, 2013
mjini Bukoba.
Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Bukoba baada ya ufunguzi wa jengo la Kagera Coperative Union leo Julai 24, 2013 mjini Bukoba.
Picha ya pamoja.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Wananchi wa Mji wa Bukoba,waliofika kumuona jioni ya leo.PICHA NA IKULU

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment