Vodacom Tanzania sasa wanauza charger za simu zinazojulikana kama ReadySet Charge ambazo zinatumia njia mbadala ya chanzo cha nishati …
Charger hizo zinazotumia mionzi ya jua zinawafaa wafanyabishara ndogo ndogo kwa matumizi tofauti katika kazi zao …
Pichani chini; Mfanyabiashara maeneo ya Ubungo akioneshwa jinsi kifaa hicho kinavyofanya kazi …

0 comments:
Post a Comment