Thursday, 25 July 2013

MAADHIMISHO YA MASHUJAA YAFANA MOROGORO.


By on 05:10

 MKUU wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akitemka katika gari wakati akiwasiri katika viwanja vya mzunguko wa Posta kwa sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa iliyoadhimishwa kimkoa mkoani Morogoro. 
PICHA JUMAMTANDA.BLOG.
 KIKOSI cha jeshi la Polisi wakati wa gwalide la kuwakumbuka mashujaa.
 ASKARI wa jeshi la Magereza akiony
esha ukakamavu wakati wa gwalide hilo.
ASKARI wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) akiwa katika gwalide muda mfupi kabla ya kuelekea mnara wa posta ambako sherehe za kuwakumbuka mashujaa ilifanyika kimkoa. 
Kwa matukio zaidi ya sherehe za mashujaa endelea kutembelea blog hii JUMAMTANDA.BLOG.

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment