Wakuu habarini,kwa sisi mabinti huu mstari chini ya kitovu(linea negra)
nackia una maanisha kuwa mtu yupo fertile na ana uwezo wa kuzaa,Je kama
mwanamke hana maana yake hatoweza kuzaa?au mstari huu wa maanisha nn?
Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.
0 comments:
Post a Comment