"Traffic ya jana na juzi ni historia………
Chief, wasomaji mlio bongo ndo mnaouwa bendi. Jana host finally aliweza kuirudisha website hewani kipindi ambacho nyie huko mmelala ila kufika saa mbili asubuhi tu mmeingia maofosini kitu chali….
Yani kilichotokea juzi na jana hakijawahi kutokea kwenye historia ya chama na serikali. Leo tumeona tuwasubiri mtoke maofisini ndo turudi hewani lasivyo mnge crash website tena.Alafu ni kwamba siku zingine mnakuwa mnasoma topic tofauti kwa mida tofauti ila juzi na jana mkiingia humu woote mnasoma topic ya Dada decent kwa wakati mmoja multiple queries zinatumwa kwenye database before i know kitu chali....Alafu host mbishiiiiiiiii anataka nilipie dedicated server , namwmabia hii kitu ni ya siku mbili tu siwezi kulipia dedicated server....." Mange Kimambi
HAYA BEEF ZIMA NITALIWEKA HAPA BAADA YA MUDA SI MTEFU JIANDAE KUSOMA GAZETI LOL
0 comments:
Post a Comment