Wednesday, 17 July 2013

HIVI NDIVYO INAVYOKUWA KWA MABASI YA MBAGALA STENDI YA MWENGE.


By on 04:40

Hii ni mitaa ya Mwenge nyakati za saa kumi jioni usafiri unagombaniwa isivyo kawaida. Wadau wanajiuliza hivi usalama upo wapi hapa? je usalama Barabarani ni mikanda vitini, ubora wa usafiri au ni maono ya wana usalama kwa wanachojisikia kukiona?

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment