Wednesday, 17 July 2013

VIBAKA MPAKA ULAYA WAPO


By on 05:40

Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa kijana huyu bitozi ugaibuni "NewYork" ndani ya klabu ya usiku alipoamua kupiga finga mwana dada wa kizungu wakati wa kuyarudi mangoma. Hakika vibaka hata ulaya wapo tena profesesheno kweli kweli. cheki mchoro mwekundu uone mkono kama ifuatavyo

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment