Sunday, 28 July 2013

MDAHALO WA AMANI NKURUMAH-JESHI LA POLISI LASHUTUMIWA KUVUNJA AMANI TANZANIA


By on 22:32

 
Katika Mdahalo unao endelea sasa kwenye ukumbi wa nkurumah wa Mustakabali wa Amani na Usalama , wachangiaje mbali mbali wamesizitiza kuwa Jeshi la polisi ndilo chanzo cha Ghasia nyingi na Mauaji yanayotokea katika shughuli mbali mbali hasa kunapokuwa na upinzania katika mikusanyiko hiyo..pia haki ya kikatiba huwa inakiukwa na polisi kwa kukataza maandamano ya upinzani...ambayo inaruhusiwa na katiba ya nchi ...wachangiaje wametoa na mifano mbali mbali kuhusu hilo ....
Je hili ni kweli kwa mtazamo wako?

About Syed Faizan Ali

Faizan is a 17 year old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Certified Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment