Wakuu habarini,kwa sisi mabinti huu mstari chini ya kitovu(linea negra) nackia una maanisha kuwa mtu yupo fertile na ana uwezo wa kuzaa,Je kama mwanamke hana maana yake hatoweza kuzaa?au mstari huu wa maanisha nn?
Copyright © 2012 Max Mag Theme. Designed by Templateism
0 comments:
Post a Comment