
'Meya'
wa Jiji la Arusha Gaudence Lyimo anapaswa kufundishwa misingi ya
demokrasia. Baada ya ushindi wa CHADEMA wa kata 4 katika uchaguzi mdogo
Ni dhahiri kwamba wananchi wa Arusha wanataka kuongozwa na CHADEMA. Meya
hachaguliwi Moja Kwa Moja bali Baraza la madiwani. Hadithi za theluthi
mbili hazina mashiko kabisa. Bwana Kayombo jiuzulu upishe CHAMA
kinachopendwa na chenye madiwani wengi kiunde Jiji. Amani ya Arusha ipo
kwenye msingi huo.
0 comments:
Post a Comment