Bila kujali usalama wa afya zao, wakazi
wa jiji la Dar es salaam wakikinga maziwa kwenye kontena la kampuni ya
maziwa ya Tanga Fresh baada ya kichwa cha kontena hilo
kuchomoka na kuacha njia eneo la ubungo mataa leo Julai 24, 2013.likitokea Mkoani Tanga hakuna aliyejeruhiwa kwenye ajali
hiyo.
Kichwa
chenye namba za usajili T 787 AFX kinachobeba kontena la maziwa kikiwa
pembeni mwa barabara mara baada ya kuacha njia. Lori hilo lilitokea
mkoaniTanga na tayari lilishafika Dares salaam kabla ya balaa kulisibu.
Picha na Philemon Solomon wa Fullshangwe.






0 comments:
Post a Comment